YOU DONT HAVE TO BE THE BEST BUT KNOW WHO IS BETTER THAN YOU AND WORK WITH THEM
Monday, October 1, 2012
ee mtakatifu yuda mtume na shahidi uliye mkuu katika fadhila na tajiri wa miujiza jamaa wa karibu wa yesu kristu mwombezi mwaminifu wa wale wote waombao katika msaada nyakati za shida